Katika siku za hivi karibuni, Jasusi [a.k.a kocha wako] huweka nyuzi za Twita (Twitter Threads) mara kwa mara huko Twita. Baadhi ya wadau wameomba kuwa nyuzi hizo zihifadhiwe mahala maalum kwa ajili ya marejeo.
Kocha wako ameonelea ni vema nyuzi hizo zikiwekwa hapa AdelPhil Online Academy hasa kwa vile lengo la chuo hiki cha bure cha mtandaoni ni kutoa …