Taarifa zilizokifikia kijarida hiki zinadai kuwa ili kupata miadi ya kuonana na Rais wa Zanzibar, Dkt Hussein Mwinyi, kuna fee ya kuanzia dola 10,000.
Hata hivyo taarifa hizo hazikueleza endapo fee hiyo inachajiwa na Dkt Mwinyi mwenyewe au wasaidizi wake.
Kadhalika, haikuweza kufahamika kama endapo fee inatozwa na wasaidizi wa kiongozi huyo, yeye mwenyewe ana taarifa au la.
Kijarida hiki kinaendelea na uchunguzi huku kikiwaomba wananchi wenye taarifa au ushahidi wa suala hilo kuwasiliana na kijarida hiki