Evarist Chahali
-
#JinsiYaKuwaMtuBora: jifunze kukataliwa (practice rejection)…kama mwanafalsafa Diogenes
.
Mwanafalsafa wa Kigiriki Diogenes, alikuwa na tabia ya kwenda kwenye sanamu kuiomba impatie hiki au kile. “Nina njaa. Nipatie chakula,” alisikika Diogenes mara kadhaa. Watu walipomshangaa aliwaeleza kuwa anafahamu fika sanamu hiyo haitomsikia wala kumpatia anachoomba. Ila anachofanya hapo ni kujifunza kukataliwa (practising rejection).
-
#JinsiYaKuwaMtuBora: Mbinu zaidi za jinsi ya kuwa mtu mwenye kujiamini (confident)
.
Kocha wako ni mmoja wa watu wanaojiamini sana. Lakini haikuwa hivyo siku zote, hasa kwa vile kama baadhi yenu mnavyofahamu, kocha wenu ni mtu mwenye aibu. Na bila shaka wengi wenu pia mwafahamu kuwa aibu ni moja ya vitu vinavyochangia kutojiamini. Kwahiyo kocha wako amemudu vipi kuwa mtu mwenye kujiamini licha ya kuwa mtu mwenye…
-
#JinsiYaKuwaMtuBora: kabla ya kuhangaikia kupendwa shurti ujipende mwenyewe kwanza. Mbinu 5 za kujipenda
.
Jipe kideti (self-date) Kuoga kwenye mapovu (bubble bath) au kujilaza kwenye maji kwa muda wa kutosha